Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
 
Leo kwanza umepika nini? kijana
Screenshot_20250206-175958~2.jpg
 
Ningekuwa kijana ningekushauri uendelee nae huku ukila taratibu pembeni, akikaa sawa muendelee.

Ila sasa na uzee huu nitakushauri tu uachane nae, tafuta mwingine mtakayeelewana na kupanga maisha.
 
Back
Top Bottom