Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Wanawake wamekuwa bwerere alafu warahisi hivi anakuaje na ujasiri wa kubana hivoAhaha acha basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wamekuwa bwerere alafu warahisi hivi anakuaje na ujasiri wa kubana hivoAhaha acha basi
lazima kuna muhuni anamgongaAcha kabisa kuna siku nilimkuta anaongea na mwanaume kajiacha ukanishika wivu sana
Mpaka pale nikapotangaza vinginevyo.Mpaka lini
Dah bas kwangu kanikazia sanaaaaWanawake wamekuwa bwerere alafu warahisi hivi anakuaje na ujasiri wa kubana hivo
Dah nishawai ambiwa ila ni mkuu wangu wakai 😔lazima kuna muhuni anamgonga
Mpaka pale nikapotangaza vinginevyo.
Chunguza rafikiake wa kike mtongoze akijua atakileta magetoni mwenyeweDah bas kwangu kanikazia sanaaaa
Mbona manen magumuHakupendi ,usilazimishe mahusiano
Kaa chonjoDah nishawai ambiwa ila ni mkuu wangu wakai 😔
Duh ngoja nijaribuChunguza rafikiake wa kike mtongoze akijua atakileta magetoni mwenyewe
Ila nampenda af uyo mkuu yeye ana mke mbonaKaa chonjo
HowUshaingia kwenye mfumo wa gusa achia tukafie mbele. Pole sana, nikushauri kwamba mambo usiyaweza kuyaamua achana nayo.
achana naye tafuta mwingine maisha yasonge, kuumia ukiwa umepoteza 1k ni tofauti ukipoteza 10k plus muda, kamsikilize v2 kwenye wimbo wake nasonga mbele..kwhy nifanyeje mkuu
hapo ukishitukiwa uchague moja kazi au mapenziIla nampenda af uyo mkuu yeye ana mke mbona
Sawa sawaachana naye tafuta mwingine maisha yasonge, kuumia ukiwa umepoteza 1k ni tofauti ukipoteza 10k plus muda, kamsikilize v2 kwenye wimbo wake nasonga mbele..