Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
😂😂Msahau kabisa futa na namba.Kaka nimeweza kuacha kutomtafuta sasaiv anachofanya ni kulike status kila nitakayo weka anakuwa wa kwanza ana like na kutuma emoj za vicheko na makopakopa nachomokaje hapo 😂