Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
MKUU AMUA SASA IVIMaamuzi
acha kutumika vibaya.
hawa viumbe tunawahangaikia wale wavae pia 50/50 ipo palepale. ila sie wakiume hatuna utetez kwanin akusumbue kichwaa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU AMUA SASA IVIMaamuzi
No reform, poor electionHellow
Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa
Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje
Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi
Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Ukifika kwenye level hii basi u.eshatoka kwenye Utumwa wa Wanawake ma utapata maendeleo.Ningekua mim napga chini hilo wazo lakua nae.
Hela zakumhonga ili akukubali naenda sokon nanunua matunda mbogamboga kwa wingi pia mazoez kujenga mwil.. Staki stress wala kubembeleza cjui kwanin.
Kwangu vinajileta vyenyewe😂😂😂Acha tu na boss ake pia
Mbona mtoto ukamuacha umeniangusha😹😹Kwangu vinajileta vyenyewe😂😂😂
Ndio hvo mkuu, sisi wanaume ndo tuteseke kwa kupambana kimaisha na kuwatunza ila hatuna thaman kwao.Ukifika kwenye level hii basi u.eshatoka kwenye Utumwa wa Wanawake ma utapata maendeleo.
Yule alilimaind kengele zangu sema kashindwa kuhonga na mm 😂😂😂Mbona mtoto ukamuacha umeniangusha😹😹
Makubwa😹Yule alilimaind kengele zangu sema kashindwa kuhonga na mm 😂😂😂
Kumbe una kengele😹🙌🏾Yule alilimaind kengele zangu sema kashindwa kuhonga na mm 😂😂😂
Ni mkoa gani kwanza..? Nina maana kwanini nakuuliza hiviHellow
Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa
Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje
Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi
Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Sio kengele tu n buku 200😂😂😂🔥🔥Kumbe una kengele😹🙌🏾
😹🙌🏾Sio kengele tu n buku 200😂😂😂🔥🔥
Best posho imeisha kwaio naona sielew elew 😹😹Sio kengele tu n buku 200😂😂😂🔥🔥
Kalibu mm Bado zipoBest posho imeisha kwaio naona sielew elew 😹😹
Mwaka unatongoza, unatongozatongozaje!!!!!! Mwaka mzima????? Isije ikawa unamwambia nakupenda, nakuoa, daaah, mwaka unatongoza tu????ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa
Hapo sasa shida inaanza. Kuliko hata unavyojipenda. Anaanzaje kukupenda wakati mwenyewe hujipendi unampenda yeye zaidi.na nina mpenda sana
Sasa utaachaje kusolve shida za unaempenda sana. Kila kitu kwa kiasi....anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa
Hadi akiba? Hicho kichwa sio kizima ndio maana hakutaki. Jipende na acha kuwa rahisi rahisi. Unatoaje akiba yako, hapo unatuma ujumbe kuwa wewe hufai. Na hutokaa umpate, anakula pesa zako halafu anaenda kuliwa na wasiotoa pesa. Acha kuwa zoba unadhani atakupenda kwa kuwa unampa pesa na wewe unaamini pesa yako ndio inapendwa zaidi kuliko wewe, acha aitafune.Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu
Kwani umelazimishwa au umeshikiliwa? Kinachokusumbua ni uzoba wako bhana. Haujui na hauwezi kuamua maisha yako. ANZA SASA HIVI UNAPOSOMA HAPA.nimechoka nifanyeje
Vipi akikupa jibu la HAPANA, utalipokea? Sasa unalialia nini maana umeshupalia hakupi jibu kama vile una uhakika wa jibu la NDIO. Acha uzombi, kwani alizaliwa ili awe mke au mpenzi wako?na mpenda sana ila jibu hanipi
Umejikamatisha mwenyewe. Hebu achana nae leo uone kama ataendelea kukuganda. Na utagundua mjinga alikuwa ni weweNifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Kaka nimeweza kuacha kutomtafuta sasaiv anachofanya ni kulike status kila nitakayo weka anakuwa wa kwanza ana like na kutuma emoj za vicheko na makopakopa nachomokaje hapo 😂Na akianza kukusumbua mpotezee