toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Hapana kauliza the right people, reverse psychology inafanyaga kazi vizuri, the more you ignore them the more you get them ukiwashobokea sana unakuwa shoot wao, hawakupi so it's better aachane nae asimpe hela atakuja mwenyewe akibanwa na kipindi anaweka distance atafute mwanamke mwingine wapo wengi na hawana watu....Usimbembeleze mwanamke unamtengenezea mazingira ya kukuona wewe fala, sijui kwanini wanawake wanatabia ya kuchanganya upendo na ufala, Yan mtu unampenda anakuona we zoba ๐Unaomba ushauri kwa wanaume wenzako ambao nao wanapitia changamoto kama yako.๐