Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Ningekuwa kijana ningekushauri uendelee nae huku ukila taratibu pembeni, akikaa sawa muendelee.

Ila sasa na uzee huu nitakushauri tu uachane nae, tafuta mwingine mtakayeelewana na kupanga maisha.
Sawa sawa
 
endelea kutoa pesa tu mkuu, maana ni kama huna KAZI nazo au akili ina shida mahali,... lakini utakapoona kuna haja ya kurudishiwa fedha zako au hata fidia, usisite kuniungisha MAPANGA yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei chee sana,.... thanks in advance 🙏🙏
 
ushaingia kwenye mfumo wake shekeli zitaendelea kuliwa na kipochi hutokaa ukione...na zaidi kinachokusumbua ni ile down payment uliyoifanya na maintenance allowance unazoendelea kuzitoa kila ukizifikiria moyo unakataa unahisi labda nikifanya nitapewa utelezi.
kwhy nifanyeje mkuu
 
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Mada kama hii angeanzisha OgaBoy Wana jf wangesema kalewa au anawaza mbali
 
endelea kutoa pesa tu mkuu, maana ni kama huna KAZI nazo au akili ina shida mahali,... lakini utakapoona kuna haja ya kurudishiwa fedha zako au hata fidia, usisite kuniungisha MAPANGA yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei chee sana,.... thanks in advance 🙏🙏
🙌🙌
 
Back
Top Bottom