Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ACHA KUTUMIKA VIBAYA MKUUanataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa
Leo nakula chakula cha darLeo kwanza umepika nini? kijana
View attachment 3260385
Wapo wengi ila wenye sifa kama zake hamna napenda mwanamke mwenye dharau sijui kwaniniHuyo mkaushie achana nae endelea ku_ hunt mademu wengine...au ndio huyo tu yupo hapo kitaa.
Unaomba ushauri kwa wanaume wenzako ambao nao wanapitia changamoto kama yako.😂
Sawa naichukua hiiPunguza ukarib kidogo ingawa ni ngumu ila jikaze hapo utampata kirahis na tunda utalila kiwepesi sana ,Chelsea kujb sms ,mpk akufte ndo umjib bila hvo kaka
Ndio ila kana masuguUnaomba ushauri kwa wanaume wenzako ambao nao wanapitia changamoto kama yako.😂
Hapo unakuta anawakizia nyie kutoa mzigo ila kuna muhuni anakula kilaini..Wapo wengi ila wenye sifa kama zake hamna napenda mwanamke mwenye dharau sijui kwanini