Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Kaka nimeweza kuacha kutomtafuta sasaiv anachofanya ni kulike status kila nitakayo weka anakuwa wa kwanza ana like na kutuma emoj za vicheko na makopakopa nachomokaje hapo πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚Msahau kabisa futa na namba.
 
Jifunze kuwa mgumu mdogo wangu Mwachiluwi

ila kama ndio huna uzoefu na hizi mambo utahangaika sana

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ona huyu anavyonihangaikia kukopa, nilikua namwelewa sana kipindi cha nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…