Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Ningekuwa kijana ningekushauri uendelee nae huku ukila taratibu pembeni, akikaa sawa muendelee.

Ila sasa na uzee huu nitakushauri tu uachane nae, tafuta mwingine mtakayeelewana na kupanga maisha.
Sawa sawa
 
endelea kutoa pesa tu mkuu, maana ni kama huna KAZI nazo au akili ina shida mahali,... lakini utakapoona kuna haja ya kurudishiwa fedha zako au hata fidia, usisite kuniungisha MAPANGA yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei chee sana,.... thanks in advance πŸ™πŸ™
 
kwhy nifanyeje mkuu
 
Mada kama hii angeanzisha OgaBoy Wana jf wangesema kalewa au anawaza mbali
 
πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…