Wewe kijana mjinga, tazama hii video huenda ujinga utakutoka

WHO ARE YOU!!!!! Yaani vijana hawajui Tanzania hakuna mahakama??? yaani vijana hawajui ajira lazima uwe CCM??? yaani vijana hawajui tume ya uchaguzi inaiba uchaguzi???? yaani vijana hawajui bei ya mafuta Zambia ni rahisi kuliko Tanzania ambako wanachukua??? yaani vijana hawajui ukikojoa Chooni kwako unatekwa??? yaani vijana hawajui kwamba Tanzania ni hatari Kwa usalama wa raia????
 
Umepiga palepale, yaani watu wengine ni watu wa ajabu sana, anaongea mladi tu anamdomo wa kuongea.
 
Hako kamalaya kazi yake ya kuchanga hela za nyumbu ndio imeishia hapo
Wamechochea vijana masikini wakafanye fujo na kupora na kuharibu miundo mbinu ya masikini wenzao, lakini walichokipata hawatasahau maishani mwao
Na kuanzia sasa hawa kenge wa dayaspora wameonyesha ujinga wao, na yule atakaeendelea kuwasikiliza huyo sasa ndio nyumbu haswa
 
Ila hapa Mange alitaka kuingiza watu cha kike
Sio hapo, kila siku ana nyumbu zake zinamsikiliza na kumwamini
Mtu mfano kama Lissu hawezi kusimama na kuanza kusema sijui fulani anaendesha lamboghini au ferrari, anajua hivyo ni kujishuhia hadhi yake, yeye anawashambulia kwenye masilahi mapana ya viwango vyake.
Haya ya kusema flani kaleta gari bandari au kasafiri kwenda Dubai ni udaku na haka kamalaya udaku ndio kazi yake anayojipatua riziki kutoka kwa nyumbu
 
Mange kakosa uhalali kwa kweli,
 
Mnacho ni furahisha yani mkipost hapo hapo mnajianza kujadiliana mada yenu.

Hii ofisi yenu ya UVCCM na Abdul
 
Back
Top Bottom