Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

Sema.kuna nyingne anaziotea aisee
Mfano ile na bien,nairobi, pini.
Kiongozi umekosea. Ile ya Bien kaimba nini sasa pale. Kama unaimba na Mkenya halafu unafukiwa basi wewe ni basi tena. Mario anafaa kuimba Amapiano maana hajajaliwa sauti na kuandika. Wimbo wake ambao ni afadhali ni Mi amor.

Au may be preferences ila nina sikio zuri saana la muziki. Nikikwambia huyu mtu anajua kuandika na kuimba basi asilimia kubwa ya watu watakubaliana Nami. Mario amapiano zinampendeza saana maana Hana sauti na kuandika kwake ni tatizo.
 
Sawa mkuu na diamond je 😅😅😅 c anafosi ila sasa ndio katobolea humo humo.
 
Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua

Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
We jamaa bana.... Umeanza kumsifia Mbosso kuanzia Insta mpaka huku😃😃... sijui ni nani yako... maana hata sababu hatuioni
 
Back
Top Bottom