Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konde kabadilika saana....huwa anazihaha! sasa konde hakuna nyimbo nilikuwa sizielewi kama nyimbo zake za awali, kule alikuwa hajaiva bado sasahivi fundi..
hao unaowasema mario na jux sema hujaelewa style ya uimbaji wao usiseme hawajui..!
wapo watu hawajui wewe labda kama hujawafuatilia!.
Muziki ni kama Gari the more you drive the better you become. Hata Mario anaimprove siku hadi siku.haha! sasa konde hakuna nyimbo nilikuwa sizielewi kama nyimbo zake za awali, kule alikuwa hajaiva bado sasahivi fundi..
hao unaowasema mario na jux sema hujaelewa style ya uimbaji wao usiseme hawajui..!
wapo watu hawajui wewe labda kama hujawafuatilia!.
Marioo aliyeimba "Dar Kugumu", "Aya" na "Inatosha" aliingia chimbo na kuanza kuachia amapiano, aligeukia muziki wa vibes na si kufanya watu wapende uandishi wake.kweli mkuu
Mkuu hata wewe upewe biti mbaya kuna uwezekano ukayakanyaga tu!, msanii yoyote lazima achague biti anayoiweza ndio maana wana style za kuimba huyu rap, mapiano, R&B n.kKonde kabadilika saana....huwa anazi
Muziki ni kama Gari the more you drive the better you become. Hata Mario anaimprove siku hadi siku.
Sisemi hawajui muziki kabisa wanajitahidi kwa uwezo wao. Kuna wasanii wape beat yoyote kitachopikwa studio kinasikilizika sasa hawa jamaa zako wafikirie tu uwape beat mbaya mbaya....nakuhakikishia husikilizi hiyo ngoma.
Anatamani apime uwezo wa Adele, Usher, na Chris Brown kwenye midondoko ya singeli.Mkuu hata wewe upewe biti mbaya kuna uwezekano ukayakanyaga tu!, msanii yoyote lazima achague biti anayoiweza ndio maana wana style za kuimba huyu rap, mapiano, R&B n.k
msanii hapimwi kwa beat anapimwa kwenye kuimba live kufuata sheria zote zakimuziki.. mi kuna baadhi ya nyimbo zimepikwa studio sijazielewa lkn msanii huyohuyo akiipiga live unakuta naikubali hiyo ya live.. nafikiri kila mtu na sikio lake kwenye muziki lkn nikuibie siri ndogo pia aina ya muziki mtu anaopenda kusikiliza na wanamuziki fulani fulani anaopenda kuwasikiliza, huelezea kwa kiasi fulani uwezo wa akili wa mtu huyo!.
na hichi kitu ni automatic huwezi ku fake..😅
Wewe unajua Muzik huyo dogo hajua kuimba technology inamboreshea sautHivi Mario anaimbaga nini? Kama kashirikishwa huwa nakimbiza wimbo mbele.
wataangukia pua tu!.. wasanii wana style zao na ndo wanapobase sasahivi wamebakiza mziki wakuimba soft sio kama wa akina Celine Dion watu wanapanda mpk key za juu huko!.. hizo enzi zilikuwa na mambo yake najua huwa zinarudi uzuri mziki unafundishika na sauti inafunguliwa vizuri tu.Anatamani apime uwezo wa Adele, Usher, Chris Brown kwenye midondoko ya singeli.
Upo sahihi kuandika unachofikiri, Marioo ni kijana aliyetambua kwamba kinyume na jamii itavyomchukulia ana nafasi yake katika mto huu wa muziki.Wewe unajua Muzik huyo dogo hajua kuimba technology inamboreshea saut
Ila tukubali Mario kajisahau ameanza kutoa maronyamh! yani jux hajajaliwa sauti...🤣
ni vile tu hujui nakuona unavyotiririka ati mario nae hajui!.. we unafata wasanii waliotoboa sana hao unaowasema hawajui hata mimi nilikuwa nasema vivyo hivyo!..
nilipokuja kukaa kuwasikiliza vyema ndo nikaelewa ni wakina nani!.
mario kaandikia wasanii wenzake kabla hata hajatoka mi nafikiri labda useme hujaelewa style ya uimbaji wake, pia jux ni vile watz sio wapenzi sana wa miondoko ya R&B sasa yule ni moja wa fundi wa hizi ngoma!.
wabongo wengi mnapenda manyimbo yaliyochangamka tu ili mkate viuno na hizo singeli ndo mmefika mnacheza kama wehu mpk mnavua nguo!..😂
ukisema jux hana sauti sijui burna boy utasemaje!.
babu mziki wewe bado kaa, keti kimya kabisa!
haha! hata wewe kuna muda kazini kwako unazingua..🤣Ila tukubali Mario kajisahau ameanza kutoa maronya
Kabisa Mkuuhaha! hata wewe kuna muda kazini kwako unazingua..🤣
'nakuja, baby nakuja'Hivi Mario anaimbaga nini? Kama kashirikishwa huwa nakimbiza wimbo mbele.
ni msanii mzuri ila huwezi kuwaweka daraja moja na kilungi'nakuja, baby nakuja'
Mkuu mbona marioo anaimba fresh tuu na anapini kibao, ingawa amapiano zinampenda Ila Kwa sisi ambao tulianza kumsikiliza marioo tangu anaimba nyimbo za kulia lia tunamwelewaKiongozi umekosea. Ile ya Bien kaimba nini sasa pale. Kama unaimba na Mkenya halafu unafukiwa basi wewe ni basi tena. Mario anafaa kuimba Amapiano maana hajajaliwa sauti na kuandika. Wimbo wake ambao ni afadhali ni Mi amor.
Au may be preferences ila nina sikio zuri saana la muziki. Nikikwambia huyu mtu anajua kuandika na kuimba basi asilimia kubwa ya watu watakubaliana Nami. Mario amapiano zinampendeza saana maana Hana sauti na kuandika kwake ni tatizo.
Marioo wala si msanii mbaya ila mbosso khan kilungi na marioo tz nani ni bora ?Mkuu mbona marioo anaimba fresh tuu na anapini kibao, ingawa amapiano zinampenda Ila Kwa sisi ambao tulianza kumsikiliza marioo tangu anaimba nyimbo za kulia lia tunamwelewa