mh! yani jux hajajaliwa sauti...🤣
ni vile tu hujui nakuona unavyotiririka ati mario nae hajui!.. we unafata wasanii waliotoboa sana hao unaowasema hawajui hata mimi nilikuwa nasema vivyo hivyo!..
nilipokuja kukaa kuwasikiliza vyema ndo nikaelewa ni wakina nani!.
mario kaandikia wasanii wenzake kabla hata hajatoka mi nafikiri labda useme hujaelewa style ya uimbaji wake, pia jux ni vile watz sio wapenzi sana wa miondoko ya R&B sasa yule ni moja wa fundi wa hizi ngoma!.
wabongo wengi mnapenda manyimbo yaliyochangamka tu ili mkate viuno na hizo singeli ndo mmefika mnacheza kama wehu mpk mnavua nguo!..😂
ukisema jux hana sauti sijui burna boy utasemaje!.
babu mziki wewe bado kaa, keti kimya kabisa!