Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

Diamond anajua saana.
Harmonize anajua vibaya saana.
Alikiba anajua saana.
Jux anaweza kuandika ila sauti hajajaliwa.
Rayvanny anajua saana hasa kuandika tatizo autotune imezidi.
Hapo kwa Jux umemuonea, Jux Ni moja Kati ya wasanii wenye sauti nzuri hakuna msanii anayeimba Rnb akawa Ana sauti mbaya
 
Diamond anajua saana.
Harmonize anajua vibaya saana.
Alikiba anajua saana.
Jux anaweza kuandika ila sauti hajajaliwa.
Rayvanny anajua saana hasa kuandika tatizo autotune imezidi.
mh! yani jux hajajaliwa sauti...🤣
ni vile tu hujui nakuona unavyotiririka ati mario nae hajui!.. we unafata wasanii waliotoboa sana hao unaowasema hawajui hata mimi nilikuwa nasema vivyo hivyo!..
nilipokuja kukaa kuwasikiliza vyema ndo nikaelewa ni wakina nani!.

mario kaandikia wasanii wenzake kabla hata hajatoka mi nafikiri labda useme hujaelewa style ya uimbaji wake, pia jux ni vile watz sio wapenzi sana wa miondoko ya R&B sasa yule ni moja wa fundi wa hizi ngoma!.
wabongo wengi mnapenda manyimbo yaliyochangamka tu ili mkate viuno na hizo singeli ndo mmefika mnacheza kama wehu mpk mnavua nguo!..😂
ukisema jux hana sauti sijui burna boy utasemaje!.

babu mziki wewe bado kaa, keti kimya kabisa!
 
babu mziki wewe bado kaa, keti kimya kabis

Labda upo sahihi....
Sisikilizi wasanii waliotoboa tu. Nasikiliza wimbo wowote mzuri.

Ila Mario hapana. Jux anaandika saana moja ya favorite songs zangu ni alofanya na John na Nyanshiski. Na zote kafunikwa.

Anatumia nguvu saana kuimba....nitakupatia mfano mwingine mdogo stamina anaandika nyimbo nzuri saana....ila huwa anatumia nguvu nyingi kutoa sauti kwenye kufoka kwake . Kuna wasanii wengi tu wanatatizo hili. Hata mbele pia misanii kibao unajua wanajua kuandika lakini sauti inawanyima kuwa almost perfect. Wasikilize watu kama Harmonize au Kanye West wanaimba smooth and soothing.....

Kuna wasanii wanajuhudi na kazi zao tu na wamefanikiwa kuliteka soko kwasababu ya juhudi.
 
Kumbe siko peke yangu ambae simuelewi marioo!
Mimi huwa simsikilizi kabisa....hii album yake mpya nyimbo zake na Bien, Alikiba, Harmonise napeleka mbele.

Natamani usikilizaji wa muziki unategemea na quality ya sikio la msikilizaji pia. Kenny mwisho wa siku atatuambia Chino anasauti nzuri saana hahaha
 
Labda upo sahihi....
Sisikilizi wasanii waliotoboa tu. Nasikiliza wimbo wowote mzuri.

Ila Mario hapana. Jux anaandika saana moja ya favorite songs zangu ni alofanya na John na Nyanshiski. Na zote kafunikwa.

Anatumia nguvu saana kuimba....nitakupatia mfano mwingine mdogo stamina anaandika nyimbo nzuri saana....ila huwa anatumia nguvu nyingi kutoa sauti kwenye kufoka kwake . Kuna wasanii wengi tu wanatatizo hili. Hata mbele pia misanii kibao unajua wanajua kuandika lakini sauti inawanyima kuwa almost perfect. Wasikilize watu kama Harmonize au Kanye West wanaimba smooth and soothing.....

Kuna wasanii wanajuhudi na kazi zao tu na wamefanikiwa kuliteka soko kwasababu ya juhudi.
haha! sasa konde hakuna nyimbo nilikuwa sizielewi kama nyimbo zake za awali, kule alikuwa hajaiva bado sasahivi fundi..
hao unaowasema mario na jux sema hujaelewa style ya uimbaji wao usiseme hawajui..!
wapo watu hawajui wewe labda kama hujawafuatilia!.
 
Nilipousikiliza wimbo wa Limevuja tena pale pale niliweza kutofautisha utunzi wa maneno ya muziki, kipaji, uchezeshaji wa hisia za wasikilizaji na u-Genius, mbosso ana talanta kubwa sana kwenye utunzi.

Ukisikiliza hizi nyimbo zake hapa chini utakubaliana na mimi:
Picha yake
Shida
Sele (Anavyomuelezea Sele baada ya kutambua madhara ya bhang, shisha n.m)
Limevuja
Nadekezwa
 
Back
Top Bottom