kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Mkuu nyimbo gani hiyoBwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
Almost zote mkuuMkuu nyimbo gani hiyo
Maan nimeacha kitambo kusikiliza wabongo.
Sema.kuna nyingne anaziotea aiseeHivi Mario anaimbaga nini? Kama kashirikishwa huwa nakimbiza wimbo mbele.
Kiongozi umekosea. Ile ya Bien kaimba nini sasa pale. Kama unaimba na Mkenya halafu unafukiwa basi wewe ni basi tena. Mario anafaa kuimba Amapiano maana hajajaliwa sauti na kuandika. Wimbo wake ambao ni afadhali ni Mi amor.Sema.kuna nyingne anaziotea aisee
Mfano ile na bien,nairobi, pini.
Sawa mkuu na diamond je ๐ ๐ ๐ c anafosi ila sasa ndio katobolea humo humo.Kiongozi umekosea. Ile ya Bien kaimba nini sasa pale. Kama unaimba na Mkenya halafu unafukiwa basi wewe ni basi tena. Mario anafaa kuimba Amapiano maana hajajaliwa sauti na kuandika. Wimbo wake ambao ni afadhali ni Mi amor.
Au may be preferences ila nina sikio zuri saana la muziki. Nikikwambia huyu mtu anajua kuandika na kuimba basi asilimia kubwa ya watu watakubaliana Nami. Mario amapiano zinampendeza saana maana Hana sauti na kuandika kwake ni tatizo.
Hahah sema hii issue ni ya muda sana,toto bad akaona mambo yasiwe mengi akafuta verse tu๐๐๐๐๐
Diamond anajua saana.Sawa mkuu na diamond je ๐ ๐ ๐ c anafosi ila sasa ndio katobolea humo humo.
We jamaa bana.... Umeanza kumsifia Mbosso kuanzia Insta mpaka huku๐๐... sijui ni nani yako... maana hata sababu hatuioniBwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua
Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
sasa bwana toto bad akaamua atengeneze bifu ambalo halina kichwa wala miguu mbosso akamtema akamwambia acha kazi ziongeeHahah sema hii issue ni ya muda sana,
Mimi ninavyoona mbosso ni zaidi ya mtambo wa burudani๐๐๐Huyu Bwana mdogo mbosso ni Genius wa muziki
Mkuu huyo sio mimi mimi ni shabiki wa bombaclaat ๐ช๐ช๐ชWe jamaa bana.... Umeanza kumsifia Mbosso kuanzia Insta mpaka huku๐๐... sijui ni nani yako... maana hata sababu hatuioni
Hilo jina la mwisho ni tusi Mkuu, google๐๐Mkuu huyo sio mimi mimi ni shabiki wa bombaclaat ๐ช๐ช๐ช
Tusi tena ๐ซก๐ค๐ค๐ค๐คHilo jina la mwisho ni tusi Mkuu, google๐๐