Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Mie nimekutana na notification ya kutajwa tu mie nishapigwa tukio jamiiforum hata siamini mtu ndo maana sipo kama zamani hawa wanaokuja na id mtu huijui unawaza kuwa ni mgeni kumbe shushushu mafala sanaaa.
Tukio gani lilikukuta?

Pole kwanza 🤣 maana ulimuitikia kibabe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…