Ha haaa yule hata sura simjui huwezi amini. Wewe ukiona nabebishana na mtu wazi wazi ujue sipo serios. Mambo mazuri ni kimya kimya.
Yule mchumba sijui kapotelea wapi
Alikuwa na swaga ninazo zipenda😀Lakini ni kama ulimpenda kweli kipindi kile 😃
Alikuwa na swaga ninazo zipenda😀
Yeah don't judge😅😅Mmmhhhh swaga za yule kaka ndo aina ya watu unapenda?? 🙌🙌
Nwei, we listen we don't judge 🤣
Umepata usaidiza mbona Kaz IPO humuMimi pia kuna mkaka natamani aone huu ujumbe😭
Jasusi anahamisha maandiko ya watu Kama data transfer Machine.Ujasusi wa kidola na kiuchumi
Mjukuu niwewe nini unalilia penziKuna watu wana miandiko mizuri hadi mtu unajikuta unadata.
Kweli kanisaidia maana siwezi hata kumtag. Akinisoma hapa atajijua.Umepata usaidiza mbona Kaz IPO humu
Na mimi nina moyo😂Mjukuu niwewe nini unalilia penzi
Hatariii eh mwayaNa mimi nina moyo😂
Wewe uyoUmenikumbusha yule kaka wa humu nilikuwa nampenda wakati ule 😥
Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumuKweli kanisaidia maana siwezi hata kumtag. Akinisoma hapa atajijua.
Naumia kumpoteza rafiki kama yeye.