mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #261
Hahaha polee mamaUsicheke. Ameniacha kikatili sana naumia. Sijawahi umia hivi mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha polee mamaUsicheke. Ameniacha kikatili sana naumia. Sijawahi umia hivi mimi
Sijawahi na sifikirii kujaribu. Nimeandika kutokana na shuhuda za wana JF ambao wametapeliwa kupitia jukwaa hili.Umeshajaribu mkuu
Yaani acha tuNamba yake ulifuta?
Mpigie
Au mtag hapa sisterhood tukusaidie hadi akurudie
OohSijawahi na sifikirii kujaribu. Nimeandika kutokana na shuhuda za wana JF ambao wametapeliwa kupitia jukwaa hili.
Sio kirahisi hivyoNgoja na mimi nisubiri kupendwa na mdada wa jf nienjoy maisha
Mtego huo ndugu. Kimbia haraka kabla hujanasa.Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumu
MmmhIla wanyakyusa kwa kupenda
Mtafute bwanaYaani acha tu
Inaonekana wewe Mama Mzungu mambo yako ya mahusiano ni supa, hongera sana.
Kasongo mbona wewooo........🤣🤣🤣We ID yako nyingine ni ipi😂
Ha haaa sasa unataka ushauri gani?Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumu
AsanteHahaha polee mama
Kuna jamaa amewashauri wanaume, wasikubali kuwa na wanawake ambao ni left over. Omba jamaa awe hajapita kwenye ule Uzi, maana una nondo nyingi sana.Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani
Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF...
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Sijakuona tangu tar 13 jioni saizi ndo nakuonaKasongo mbona wewooo........🤣🤣🤣
Ukute wewe ni mwanaumeNakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Baada ya kufichwa na mshangazi, ukanitelekeza dada yako!!! Nipo hapa hapa home uliponiacha.Sijakuona tangu tar 13 jioni saizi ndo nakuona
Watu na experience zenu.Ukiamua kuwekeza kabisa kuzichapa kupitia jf utakula ushibe na kukinai.