Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumu
Mtego huo ndugu. Kimbia haraka kabla hujanasa.
 
Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumu
Ha haaa sasa unataka ushauri gani?
 
Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani

Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF...

Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.

Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)

Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..

Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100

Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja

Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Kuna jamaa amewashauri wanaume, wasikubali kuwa na wanawake ambao ni left over. Omba jamaa awe hajapita kwenye ule Uzi, maana una nondo nyingi sana.
 
Vijana wanaufurahia sana ujana wao ni mwemdo wa kuzichakata mbususu bila kuchoka. Ukiamua kuwekeza kabisa kuzichapa kupitia jf utakula ushibe na kukinai.
 
Back
Top Bottom