Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Ha haaa yule hata sura simjui huwezi amini. Wewe ukiona nabebishana na mtu wazi wazi ujue sipo serios. Mambo mazuri ni kimya kimya.
Yule mchumba sijui kapotelea wapi

Lakini ni kama ulimpenda kweli kipindi kile 😃
 
Namba yake ulifuta?
Mpigie
Au mtag hapa sisterhood tukusaidie hadi akurudie
 
Kweli kanisaidia maana siwezi hata kumtag. Akinisoma hapa atajijua.
Naumia kumpoteza rafiki kama yeye.
Alafu nisaidie kitu yaan Kuna mdada nlikuwanaye kweny mahusiano kipind Cha nyuma saiz ameolewa ila Kila baada ya mda Fulani lazma anitumie sms ingawa nakuushia simjibu na Jana usiku amenitumia "happy Valentine my x ❤️ " kiufupi ananipa wakat mgumu
 
Back
Top Bottom