Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani

Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..

Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.

Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)

Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..


Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100

Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja

Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Maneno yakishujaa sana Kwa huyu mwanamke yaan ningeambiwa mm hata angekuwa na sura mbaya ningerudi kwake
 
Wakukojolee upunguze wenge 😹😹

Niwazunguke mi dunia? Wewe ndo mleta taarifa za watu humu, aintie yako alikuamini kumbe wewe ndio mchomaji wake..!!
Hahaha natamanije dem anikojolee acha kabisa yaani niko karibu na kkoo tuma location tupeane mikojo love
 
Back
Top Bottom