Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Ni mpaka maji waite mma k zinawanyolosa kisawasawa mwingine jana kamwagwa ubongo, hatujajinyoosha vizuri nara paap muheshimiwa katumbuka mwingine huyu kashakuwa chizi fresh na wakizubaa ndo imetoka hiyo
Tatizo simu hana, ili niwatafute hata ndugu zake nijue wanamsaidia vipi, nataka nizame facebook nichague hata wadau 10 lengo nipate ndugu wa huyu jamaa wamsaidie, maana hapa dar hanaga ndugu zaidi ya yeye kuja na kufanya biashara zake japo alijenga
 
Hatari sana, ndugu zetu kanda ya ziwa mapenz yanawatesa sana, maana naona kesi nyingi harafu huwaamini wanawake sana
 
Mleta mada umeandika uongo na porojo na hadithi feki za kutunga mwanaume huyo haikuwa na shughuli ya kumwingizia kipato ? Kuwa Hata Mwanamke akiondoka maiaha yataendelea?

Mwongo mkubwa wewenna hujui kutunga uongo
 
Kama story yako ya kweli bas jamaa hatakiwi kuwa kwenye hali unayosema
 
Tatizo simu hana, ili niwatafute hata ndugu zake nijue wanamsaidia vipi, nataka nizame facebook nichague hata wadau 10 lengo nipate ndugu wa huyu jamaa wamsaidie, maana hapa dar hanaga ndugu zaidi ya yeye kuja na kufanya biashara zake japo alijenga
Nimeona unajishaua kuwa ni muislam hamfanyiwi ujinga😅😅matukio mnapigwa vizuri tu sema nyie ni wataalam wa kutelekeza watoto mkizinguana na mwanamke
 
1. Hujielewi.
2. Ulikuwa unataka kumfanyia hivyoo ukaishi kwa malaya akakuwahi
3. Kama ni yeye amekuchukulia mali zote bila sababu utapata nyingine nyingi.
Au nendeni mahakamani . Mpaka ameondoka kamuachia mwanamke vitu vyote kuna siri ambayo imebidi amuachie kila kitu. Kama yule mwanamke mwibaji wa jipe moyo utayashinda naye hivyo hivyoo ila akapata tajiri mkubwa karudisha mali zote
 
Inawezekana ameliwa Timing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…