Huyu jamaa hakuajiriwa, ila anafanya tender zake hasa kwenye petrol station anafunga camera, anatengeneza software za biashara, makanisani, yaani mkuu huyu mtu anatenda mpka nje ya nchi yaani anaunganisha computer ya Ghana na hapa anapiga kazi hata chini ya mti.
Anatenda za kusambaza sweta, uniform kuanzia Tanzania mpka Kenya, mkuu sijui nikwambiaje kuhusu huyu mtu.
Alikuwa na nyumba mbili dar, nasikia kauza, alikuwa na Guest pale Tabora, ngoja nitafute jina nitaliweka hapa
NB:HAKUAJIRIWA NA HATAKI KUSIKIA NENO AJIRA, KWA SABABU ANATENGENEZA FEDHA NYINGI SANA