Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
Kwamba wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu 😀😀mTZ akimiliki mtungi wa gesi tu anaanza kuwaza ushuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu 😀😀mTZ akimiliki mtungi wa gesi tu anaanza kuwaza ushuzi
Unaendelea bado kuwapa gharama tuUwii im 35 and still live with my parents 🤭
Hivi kukaa nyumbani ni umaskini?Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake
Walitakiwa wawe na visima huko uarabuni; ila kwa kuendelea kukaa pamoja wameshindwa kufanikishaHivi kukaa nyumbani ni umaskini?
Nadhani mleta mada hauna exposure tembea uwone watu wazungu wanavyoishi