sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 304
- 579
Wao ndo waondoke waende kwa wazazi wao maana mimi nipo kwa wazazi wangu [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ephen mambo😁Nawatia gharama wazazi hiyo ni kweli! Lkn mimi sio chanzo cha umaskini kwetu.
Inamaana nguvu inayotumika kuwalisha, kuwavisha, kuwatibu, kuwapa malazi, kuwasomesha n.k tunaithaminisha na hiyo thamani ya fedhaKuna watu huwaga na point sana ila wakiweka tu mfano point nzima inageuka kimba
Epuka sana kutumia mifano kama hujafanya research
Uliposema familia ya watu Saba 70,000@1day kibongo bongo hii ni familia ya kitajiri mno Wala sio middle income.
Naogopa kutoa mifano nisije nikanya na mimi tukaonekana wote wasazi
Watakufungulia mashtaka kwa kuwafanya waendelee kuwa masikiniWao ndo waondoke waende kwa wazazi wao maana mimi nipo kwa wazazi wangu [emoji1787][emoji1787]
Chanzo ni nini?Nawatia gharama wazazi hiyo ni kweli! Lkn mimi sio chanzo cha umaskini kwetu.
sitaki kuchekaKwani huyo mtoto amewaomba wamzae. Yeye atakuweje chanzo cha umasikini wao? Wakati yeye alikuwa kimya huko aliko wala alikuwa hana mpango wa kuzaliwa. Kiherehere chai na nyege zao ndio zimepelekea hayo yote. Wapambane na hali zao.
Ahahahhahahahsitaki kucheka
Kwa maisha ya sasa ni bus ara kuzaa watoto utakaoweza kuwapa maisha bora si bora maisha. Familia inavyokuwa kubwa ndio gharama zinaongezeka. Tunaona wenye watoto wengi wanavyohangaika kuwalea na wengine wanaishia kuwapa ndugu mzigo usiokuwa wao. Na wengine w1natelekeza hadi watoto wao.Watu wanakataa ukweli 😀 😀 ; hawataki kukubali kuwa wao ni sehemu ya tatizo la umasikini
Ukileta mtoto duniani ni jukumu lako kuwalea.Tuwaheshimu wazazi wetu, na ikiwezekana tuwaombe msamaha kwa kuwasababishia umasikini.
Ya familia nzima kwa kujinyima kwa kuwa hauna namnaKapuyanga parefu sana, hiyo buku ten ni bajeti ya familia nzima
Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi.
Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake.
Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa sababu gharama zilizotumia kukuza au kukulea wewe, ni gharama kubwa ambazo wazazi wako wangewekeza kwenye ujenzi wa viwanda, tungekuwa na bidhaa nyingi huko nje ya nchi na tungepata fedha za kigeni.
Mfano:-
Chukulia kwa siku unatumia 10,000/=
Mwaka una siku 365
Kukaa kwa wazazi mpaka kujitegemea, chukulia miaka 30
Fedha/nguvu zilizotumika kwa wazazi = 10,000 x siku 365 x miaka 30
=109, 500,000/=
Hii ina maana, mtu mmoja mpaka aje aondoke kwa wazazi wake, atakuwa ametumia kiasi kisichopungua Tsh. 109,500, 000/=
Kama mmezaliwa saba (7), ina maana wazazi wenu mmewabebesha mzigo wenye thamani ya Tsh. 766,500,000/=; kwa hiyo kama wanaishi kwenye mazingira mabovu, kaa ukijua, chanzo chao cha umasikini ni wewe.
Ndio maana matajiri hawazai watoto wengi, sio kwamba wana akili sana, bali wanaepuka gharama hizo nilizoziainisha hapo juu.
Kwa hiyo, usiwalaumu wazazi wako, kwa sababu chanzo chao cha umasikini ni wewe.
Karibuni kwa hoja.
Tuwaheshimu wazazi wetu, na ikiwezekana tuwaombe msamaha kwa kuwasababishia umasikini.
Kapuyanga parefu sana, hiyo buku ten ni bajeti ya familia nzima
Sawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?
Kama vipi wasingetuleta duniani. Watoto ni jukumu lako uliamua mwenyewe kuzaa.Lazima tukubali, sisi ndio chanzo cha umasikini wa wazazi wetu 😀
Utapata laana weweWazazi ndio tunatakiwa tuombe Msamaha Watoto Kwa kuwazaa kama wanyama ilhali hatuna uwezo wa kuwatunza na kuwapa Maisha mazuri.
Kuzaa hata panya anazaa
Chakula, malazi, matibabu, usafiri, mavazi, pampas, ada n.kAngesema tatizo la umaskini linatokana na watu kutokujua hesabu kama yeye tungemuelewa.
Elfu 10 Kwa MTU mwenye Akili inatosha Kwa familia yenye Maisha ya kawaida. Yenye Watoto watatu, Baba na Mama.