Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

Kwa mazingira hayo, tayari unaongeza umasikini
Kuwa maskini,,,Iwe kupunguza umaskini au kuongeza umaskini ni zaidi ya hesabu,,Umaskini,,Utajiri ni Maneno mapana na yanahitaji uchambuzi wa kina ili kuyafafanua kwa ufasaha zaidi kwa kushirikisha fikra nyingine kutoka kwa wengine!!Maisha ni ukamilifu na sidhani kama kuna kilicho na ukamilifu katika ulimwengu huu,,Kwa waliopita,,Wasasa na Wajao pia!!
 
Wazazi wanawajibuwa kutunza watoto waliowazaa kwa starehe zao, watoto wasilaumiwe maana hamna mtoto anayejizaa.
Sawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?
 
Kumbuka ukiwa na watoto saba tu, debe la mahindi linaisha mchana mmoja
Masikini na tajiri wanafikra na saikolojia ambazo zinakinzana hivyo usiwalinganishe wao bali linganisha fikra na saikolojia zao.

1. Kwa masikini familia ndio Hamasa ya kutafuta zaidi. Kwa tajiri kupata zaidi ndio Hamasa

2. Na masikini yuko proud na mafanikio ya mtoto wake kuliko hata mafanikio yake binafsi. Kwasababu masikini anawekeza ndoto zake kwa mtoto. Ndio maana wazazi masikini huwa ni wakali zaidi kwa watoto kwa sababu kupotea kwa mtoto ni kupotea kwa ndoto za mzazi na mtoto pia.
Kwa tajiri ni kinyume chake

Mkuu kwa facts nilizokupa kama bado haujanielewa basi baki na uelewa wako

Sometimes for you to understand easily, you need to unlearn the old concept before learning a new concept
 
Duuh kumbe kuwa na Familia Ni gharama hivi? Ukiwa na Familia ya watu watano (5) nawe wasita kwa Siku kumbe lazima mezani uache elf 60 duuh...! Alisikika Chizi mmoja akilalama
 
Hasara nyingi zitakupinga mkuu.
Jumlisha na ada na matibabu, hesabu ipo pale pale wewe ndio asara ya ukoo
 
Kuwa maskini,,,Iwe kupunguza umaskini au kuongeza umaskini ni zaidi ya hesabu,,Umaskini,,Utajiri ni Maneno mapana na yanahitaji uchambuzi wa kina ili kuyafafanua kwa ufasaha zaidi kwa kushirikisha fikra nyingine kutoka kwa wengine!!Maisha ni ukamilifu na sidhani kama kuna kilicho na ukamilifu katika ulimwengu huu,,Kwa waliopita,,Wasasa na Wajao pia!!
Umaskini ni udogo wa kipato kisichokidhi mahitaji ya wakati husika. Full stop. So, umasikini uko katika kipato ama mali si vinginevyo
 
Naona unapenda majibu mepesi nami nakujibu kiwepesi. Hauko sawa.

Nami nakuuliza unadhani Leo billget akilea watoto 100 na kuwahudumia kwa kila kitu atarudi kuwa masikini?
Akiwahudumia kwa miaka isiyopungua 30, atarudi nyuma sana; ndio maana kwenye chati pale, wanapokezana
 
Mnazaa kama panya halafu mnawalaumu hao mnaowazaa , upumbavu wa wapi huo ?, akili za kimavi kabisa .
"Stupid " in Samia's voice
 
Sawa, wazazi wanakusikia ukiwatupia lawama, wakisema wakurudishe walikokutoa, utakubali?
Ukizaa ni wajibu wako kuhakikisha huyo unayemzaa anapata huduma zote na uhakikishe future yake inakuwa nzuri kiuchumi ,sio kuzaa kama mahayawani , kama ni kuzaa hata wanyama wanazaa ,watu watumie akili
 
Akiwahudumia kwa miaka isiyopungua 30, atarudi nyuma sana; ndio maana kwenye chati pale, wanapokezana
Hahaha misaada anayotoa billget ni zaidi ya kulea watoto 1000. Kinachosababisha wapokezane kwenye list ya matajiri ni kupanda na kushuka kwa investments zao (hasa hisa)siyo matumizi yao wala misaada yao
 
atiUmaskini ni udogo wa kipato kisichokidhi mahitaji ya wakati husika. Full stop. So, umasikini uko katika kipato ama mali si vinginevyo
Kutokidhi mahitaji kwa wakati husika wala si umaskini,,na kukidhi mahitaji kwa wakati husika haimaanishi na wala si Utajiri pia!!kutimiza mahitaji kwa wakati husika kunahitaji ukamilifu haswa na kwa asili ya vyote vilivyomo katika ulimwengu huu hakuna kilicho na ukamilifu!!
 
Labda kama unatafsiri zako binafsi. Angalia kwenye kamusi maana ya umaskini ama poverty kwenye dictionary
 
Hahaha misaada anayotoa billget ni zaidi ya kulea watoto 1000. Kinachosababisha wapokezane kwenye list ya matajiri ni kupanda na kushuka kwa investments zao (hasa hisa)siyo matumizi yao wala misaada yao
Kutoa msaada ni tofauti na kulea
 
Back
Top Bottom