Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Ada ya wazazi uliitumia vizuriTafuta maana ya time value of money na maana ya inflation. 30,000 ya sasa ni sawa na 500 ya mwaka fulani. Ukiwa unapiga hesabu kwa sasa unataja thamani ya sasa hivi na ukipiga hesabu ya zamani unataja kiasi kile kisha subject ya thamani ya sasa.