Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi.

Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake.

Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa sababu gharama zilizotumia kukuza au kukulea wewe, ni gharama kubwa ambazo wazazi wako wangewekeza kwenye ujenzi wa viwanda, tungekuwa na bidhaa nyingi huko nje ya nchi na tungepata fedha za kigeni.

Mfano:-

Chukulia kwa siku unatumia 10,000/=

Mwaka una siku 365

Kukaa kwa wazazi mpaka kujitegemea, chukulia miaka 30

Fedha/nguvu zilizotumika kwa wazazi = 10,000 x siku 365 x miaka 30

=109, 500,000/=

Hii ina maana, mtu mmoja mpaka aje aondoke kwa wazazi wake, atakuwa ametumia kiasi kisichopungua Tsh. 109,500, 000/=

Kama mmezaliwa saba (7), ina maana wazazi wenu mmewabebesha mzigo wenye thamani ya Tsh. 766,500,000/=; kwa hiyo kama wanaishi kwenye mazingira mabovu, kaa ukijua, chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Ndio maana matajiri hawazai watoto wengi, sio kwamba wana akili sana, bali wanaepuka gharama hizo nilizoziainisha hapo juu.

Kwa hiyo, usiwalaumu wazazi wako, kwa sababu chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Karibuni kwa hoja.​
Hesabu hizi bia ya 10 na kisungura
K1 kichwani. Tunachosha u bongo
 
Mtoa mada uko sahii Sana[emoji848]
 
Labda kama unatafsiri zako binafsi. Angalia kwenye kamusi maana ya umaskini ama poverty kwenye dictionary
Na ni kweli Utajiri na umaskini na hata lolote lile katika maisha ni utafsiri binafsi,,Maisha ni utafsiri binafsi wa kila kilicho kwenye maisha,,na kama kila kilicho kwenye maisha kina tafsiri yake kwa ubinafsi wake!!
 
Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi.

Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake.

Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa sababu gharama zilizotumia kukuza au kukulea wewe, ni gharama kubwa ambazo wazazi wako wangewekeza kwenye ujenzi wa viwanda, tungekuwa na bidhaa nyingi huko nje ya nchi na tungepata fedha za kigeni.

Mfano:-

Chukulia kwa siku unatumia 10,000/=

Mwaka una siku 365

Kukaa kwa wazazi mpaka kujitegemea, chukulia miaka 30

Fedha/nguvu zilizotumika kwa wazazi = 10,000 x siku 365 x miaka 30

=109, 500,000/=

Hii ina maana, mtu mmoja mpaka aje aondoke kwa wazazi wake, atakuwa ametumia kiasi kisichopungua Tsh. 109,500, 000/=

Kama mmezaliwa saba (7), ina maana wazazi wenu mmewabebesha mzigo wenye thamani ya Tsh. 766,500,000/=; kwa hiyo kama wanaishi kwenye mazingira mabovu, kaa ukijua, chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Ndio maana matajiri hawazai watoto wengi, sio kwamba wana akili sana, bali wanaepuka gharama hizo nilizoziainisha hapo juu.

Kwa hiyo, usiwalaumu wazazi wako, kwa sababu chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Karibuni kwa hoja.​
Isee, hakuna mzazi anaetumia liten Kila siku Kwa ajili ya mwanae, jifunze kusoma vitabu
 
Hahahaha mkuu unajitoa ufahamu kama ambavyo wizara ya afya inafanyaga hitimisho la kijinga kabisa la kushawishi masikini kuzaa watoto wachache kwa mpangilio bila kujua hili ni suala la kisaikologia na kijamii zaidi, kuliko linavyoonekana kwa nje.

Je, unafahamu kwanini watu ama wanayama wanatengeneza familia?
1. Tunatengeneza familia kama kiashiria cha kukua na kumiliki. Ndio maana hata mtu awe na mali kiasi gani kama hana familia anaonekana muhuni aliyefanikiwa.
2. Familia ni nguvu kazi hasa kwa watu masikini. Vitu vingi ambavyo ungeajiri watu wakusaidie ama wakufanyie basi utasaidiwa na wanafamilia.
3. Familia ni back up yako pale utakapokuwa umezeeka ama lolote kukutokea ambalo litasababisha usiwe na uwezo wa kutafuta.

Kwanini matajiri wanazaa watoto wachche
1. Matajiri wanaona mali zao ni kielelezo tosha cha kuonyesha mafanikio na umiliki wao. Wakati kwa masikini familia nzuri na bora ni kielelezo cha mafanikio na umiliki.

2. Kwa matajiri watoto siyo nguvu kazi bali pesa zao. Kwa masikini watoto ni nguvu kazi ya familia.

3. Kwao watoto siyo back up bali investments zao. Kwa masikini watoto ndio back up. Na wanajitahidi kuzaa wengi maana haujui yupi atafanikiwa na yupi hatofanikiwa.

Hivyo kisaikolojia sababu za tajiri kuwa na watoto hazina nguvu kama sababu alizonazo masikini. Hivyo matajiri wengi wanakuwa na watoto sababu ya kutafuta loyalty na successor wao wa kuendeleza legacy zao. Na si vinginevyo

N.B ndio maana hata vijijini siku hz watu wamepunguza kuzaa kwasababu sababu na uhitaji wa kuzaa watoto wengi umepungua. Wasomi wanahisi ni sababu ya Elimu la hasha ni sababu sana na uhitaji kupungua

Bila shaka nimekufafanulia kwa lugha rahisi sana
Unafaa kua mwalimu mzuri[emoji4][emoji106]
 
Masikini na tajiri wanafikra na saikolojia ambazo zinakinzana hivyo usiwalinganishe wao bali linganisha fikra na saikolojia zao.

1. Kwa masikini familia ndio Hamasa ya kutafuta zaidi. Kwa tajiri kupata zaidi ndio Hamasa

2. Na masikini yuko proud na mafanikio ya mtoto wake kuliko hata mafanikio yake binafsi. Kwasababu masikini anawekeza ndoto zake kwa mtoto. Ndio maana wazazi masikini huwa ni wakali zaidi kwa watoto kwa sababu kupotea kwa mtoto ni kupotea kwa ndoto za mzazi na mtoto pia.
Kwa tajiri ni kinyume chake

Mkuu kwa facts nilizokupa kama bado haujanielewa basi baki na uelewa wako

Sometimes for you to understand easily, you need to unlearn the old concept before learning a new concept
Wee jamaa unamwaga madini sana[emoji4][emoji106]
 
Kwani huyo mtoto amewaomba wamzae. Yeye atakuweje chanzo cha umasikini wao? Wakati yeye alikuwa kimya huko aliko wala alikuwa hana mpango wa kuzaliwa. Kiherehere chai na nyege zao ndio zimepelekea hayo yote. Wapambane na hali zao.
 
Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi.

Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake.

Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa sababu gharama zilizotumia kukuza au kukulea wewe, ni gharama kubwa ambazo wazazi wako wangewekeza kwenye ujenzi wa viwanda, tungekuwa na bidhaa nyingi huko nje ya nchi na tungepata fedha za kigeni.

Mfano:-

Chukulia kwa siku unatumia 10,000/=

Mwaka una siku 365

Kukaa kwa wazazi mpaka kujitegemea, chukulia miaka 30

Fedha/nguvu zilizotumika kwa wazazi = 10,000 x siku 365 x miaka 30

=109, 500,000/=

Hii ina maana, mtu mmoja mpaka aje aondoke kwa wazazi wake, atakuwa ametumia kiasi kisichopungua Tsh. 109,500, 000/=

Kama mmezaliwa saba (7), ina maana wazazi wenu mmewabebesha mzigo wenye thamani ya Tsh. 766,500,000/=; kwa hiyo kama wanaishi kwenye mazingira mabovu, kaa ukijua, chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Ndio maana matajiri hawazai watoto wengi, sio kwamba wana akili sana, bali wanaepuka gharama hizo nilizoziainisha hapo juu.

Kwa hiyo, usiwalaumu wazazi wako, kwa sababu chanzo chao cha umasikini ni wewe.

Karibun​

Kama ni hivyo basi umasikin wa wazazi wengi upo kwenye maamzi yao wenyewe.

Na je kama wangeamua wasiwe na watoto wangekuwa na hicho kiasi cha pesa kwa muda ulioutaja?

Vipi wale watoto wanaohusika kwenye shughili za uzalishaji za familia zao bila malipo?
Suala la umasikini halina sababu moja wala mbili, pia rasilimali huwa hazitoshi .
 
Kuna watu huwaga na point sana ila wakiweka tu mfano point nzima inageuka kimba
Epuka sana kutumia mifano kama hujafanya research
Uliposema familia ya watu Saba 70,000@1day kibongo bongo hii ni familia ya kitajiri mno Wala sio middle income.
Naogopa kutoa mifano nisije nikanya na mimi tukaonekana wote wasazi
 
Back
Top Bottom