Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 29, 2023 Thread starter #181 El marabiosh said: mTZ akimiliki mtungi wa gesi tu anaanza kuwaza ushuzi Click to expand... Kwamba wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu 😀😀
El marabiosh said: mTZ akimiliki mtungi wa gesi tu anaanza kuwaza ushuzi Click to expand... Kwamba wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu 😀😀
Beige JF-Expert Member Joined Dec 7, 2022 Posts 234 Reaction score 515 Jul 29, 2023 #182 Uwii im 35 and still live with my parents 🤭
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 29, 2023 Thread starter #183 cestcibon said: Uwii im 35 and still live with my parents 🤭 Click to expand... Unaendelea bado kuwapa gharama tu
cestcibon said: Uwii im 35 and still live with my parents 🤭 Click to expand... Unaendelea bado kuwapa gharama tu
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Jul 29, 2023 #184 Equation x said: Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake Click to expand... Hivi kukaa nyumbani ni umaskini? Nadhani mleta mada hauna exposure tembea uwone watu wazungu wanavyoishi
Equation x said: Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake Click to expand... Hivi kukaa nyumbani ni umaskini? Nadhani mleta mada hauna exposure tembea uwone watu wazungu wanavyoishi
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 29, 2023 Thread starter #185 The Knowledge Seeker said: Hivi kukaa nyumbani ni umaskini? Nadhani mleta mada hauna exposure tembea uwone watu wazungu wanavyoishi Click to expand... Walitakiwa wawe na visima huko uarabuni; ila kwa kuendelea kukaa pamoja wameshindwa kufanikisha
The Knowledge Seeker said: Hivi kukaa nyumbani ni umaskini? Nadhani mleta mada hauna exposure tembea uwone watu wazungu wanavyoishi Click to expand... Walitakiwa wawe na visima huko uarabuni; ila kwa kuendelea kukaa pamoja wameshindwa kufanikisha
Muccigang JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 1,313 Reaction score 1,918 Jul 29, 2023 #186 Hiyo hela ndogo watu wanatumia 50 per day na hawajaoa