Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Kumbe matajiri ndio wanatutikisia mamboz zinagoma!!??usimfokee tajiri wewe,,atatikisa tena kebo kuleee baharini
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
sasa maskini tunaweza nini mkuu zaidi ya kujaza bando la jero na kulalamika cm zetu mbovu,,tunazima na kuwasha kumbe kebo ishatekenywa uko😂😂Kumbe matajiri ndio wanatutikisia mamboz zinagoma!!??
🙆🏿♂️🤣🤣🙌🙏Basi wacha niwe mpole.
12. Kutudharau watu na infinix zetuTuendelee .....
11. Kama unakuwa mtu wa hasira hasira na visirani ni dalili tosha ya kuwa wewe ni masikini
12. .....endelea.....
Mshamba kweli huyo jamaa...Umeropoka sana mkuu.
-Usafiri wa umma haimaanishi kuwa mtu masikini.
Wapo wenye uchumi wa kati ila wanatumia usafiri wa umma.
-Wengine wanafuga hawanunui nyama bali wanachinja.
-Simu nzuri sio apple na samsung tu.
Kuna OPPO,XIAOMI,VIVO,HUAWEI.
Hizi nazo zimetajwa kuwa miongoni mwa simu bora.
Punguza ushamba
Pole mkuu hipo siku yatakwisha jipe moyo!Mshamba kweli huyo jamaa...
Kwa hiyo wote waliooa matajiri?7. Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
Sasa wewe muda si mrefu utatoboa!Kwa vigezo hivi mimi ni maskini, sema hata ungebadilisha vigezo mwendo ni ule ule
Kama wanatimiza majukumu! Sio tiamaji tiamaji!Kwa hiyo wote waliooa matajiri?
Basi point yako haina uhalisia iondoeKama wanatimiza majukumu! Sio tiamaji tiamaji!