Wewe ni mhenga?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama bado unapiga mawe juu ya bati ya nyumbani kwa binti kwa lengo la kumuita wewe ni muhenga nanusu
Kama ulikuwa unawatuma watoto wadogo wakamuite msichana kwao, wewe ni muhenga.

Siku moja jamaa kawatuma watoto wawili wakubwa kidogo waende kumuita msichana kwao, baada ya kufika wakakutana na baba yake amekaa nje wakaishia kujifanya wamepoteza mbuzi na wanamtafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilikuwa nasema sasa watu wanatongozaje...siku moja nikaona katoto kalikiwa darasa la tatu mimi la nne.

Nikakafuata taratibu nikakambia naomba ....ma.

Kaliruka kama kamepigwa starter. Kakamwaga sugari kaliyobeba....

Hiyo kesi iliyokuja sitakaa niisahau.
 
Umenikumbusha kale ka mchezo ka baba na mama. Nilikuwa bingwa wa kuitendea haki nafasi ya baba
Wee babu bana, hukuwahi kuvuka stage kweli....

maana naona kama unasup stage....
 
aisee...! kweli mimi ni muhenga!
 
Walikuwa wanasema wanaenda kukusema kwa mama yao, halafu mama yake akakinukishe home kwenu
 
Walikuwa wanasema wanaenda kukusema kwa mama yao, halafu mama yake akakinukishe home kwenu
Mama alilipa ile sukari.
Akaniambia leo utanijua nani kakfundisha tabia za kuomba viungo vya siri watoto watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…