Uko njema cuteNikiokota pesa ya kuokota namtafuta mwenye nayo nampatia. Pesa ya kuokota sio yako wala haiwezi kukuongezea chochote kwenye akili yako.
Nitafanya kila jitihada mpaka nimpate mwenye nayo mimi mwenyewe.
Kuna muda haki huja kwamtindo watofauti,Ila Mungu huyo huyo anataka mtu arudishiwe haki yake
Matajiri wengi siyo watu wazuri.MATAJIRI WOTE KUNA RAFU WAMECHEZA AU WANACHEZA MPAKA KUWA HAPO WALIPO
Siku haki ya huyo mtu ikirudi kwake naomba uyakumbuke haya unayosema ,tena kwako ingekuwa rahisi sana kurudisha kwakuwa unamjua mhusikaMimi kama mimi kurudisha hela nimeokota siwezi,. Leo saa3 asubuhi kuna mtu kakosea kutuma Laki2 kwenye namba yangu ya Voda nimeihamishia Kwenye Halopesa nimetulia na mpango wa kuirudisha sina
Ubinadamu nilishafanyaga sana na haukunilipa wala kunifikisha popote. Wacha nijilipe tu maana nishalizwa sana
Ndio maana imeandikwa ni rahisi sana ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajir kuuona ufalme wa mungu,hakika kuna mambo mengi sana nje ya utajiriMatajiri wengi siyo watu wazuri.
Ndiyo maana wapo tayari kuuza bidhaa zilizopita muda wake ili mradi waongeze utajiri wao.
Baadhi ya matajiri wanalipa stahiki ambazo hazikidhi haja za waajiliwa wao.
Katika jamii kama hiyo uaminifu wa watu unakuwa chini.
Umesema vema, mimi naona hakuna kitu kigumu kama kila siku unatubia makosa yako lkn una dhambi moja ambayo unayo ipo constant kama hii ya kudhulumu haki ya mtuSiku haki ya huyo mtu ikirudi kwake naomba uyakumbuke haya unayosema ,tena kwako ingekuwa rahisi sana kurudisha kwakuwa unamjua mhusika
Hivi kpnz ulishawaza huenda hiyo hela kuna mgonjwa anahitaji kufanyiwa matibabu? Au kuna mjamzito ambaye anahitaji hiyo hela au labda kuna mpangaji ambaye huenda leo ndio deadline yake?
Mkuu mimi nimelizwa pesa nyingi sana sana sana, kuna nyingine mpaka saizi nadhani mzee wangu bado hajamaliza kulipa deni maana nilipigwa pesa nyingi halafu zilikua za kampuni ( naogopa tu kumention maana kuna watu hua wananifatilia sana ).Siku haki ya huyo mtu ikirudi kwake naomba uyakumbuke haya unayosema ,tena kwako ingekuwa rahisi sana kurudisha kwakuwa unamjua mhusika
Hivi kpnz ulishawaza huenda hiyo hela kuna mgonjwa anahitaji kufanyiwa matibabu? Au kuna mjamzito ambaye anahitaji hiyo hela au labda kuna mpangaji ambaye huenda leo ndio deadline yake?
NIlikua hivyo zamani, tena nadhani nilikua nina roho nzuri kukuzidi lakini wanadam wamenifundisha ukatili wacha tu nikachomwe moto kama ninachokifanya ni dhambi🙌Umesema vema, mimi naona hakuna kitu kigumu kama kila siku unatubia makosa yako lkn una dhambi moja ambayo unayo ipo constant kama hii ya kudhulumu haki ya mtu
Afu kingine watu wajue hakuna ukomo wa mema ila ufanye mara nyingi kdru nafasi zipotokea mpka uwe mtindo wa maisha
Ni sahihi kabisa,na hakika ogopa dua ya mtu ambaye amedhulumiwa,hiyo inasemwa haina kinga kwa maana inakubaliwa moja kwa mojaUmesema vema, mimi naona hakuna kitu kigumu kama kila siku unatubia makosa yako lkn una dhambi moja ambayo unayo ipo constant kama hii ya kudhulumu haki ya mtu
Afu kingine watu wajue hakuna ukomo wa mema ila ufanye mara nyingi kdru nafasi zipotokea mpka uwe mtindo wa maisha
Bado hamjapigwa matukio nyinyi, Mnaongea kinadharia sanaNi sahihi kabisa,na hakika ogopa dua ya mtu ambaye amedhulumiwa,hiyo inasemwa haina kinga kwa maana inakubaliwa moja kwa moja
Kwanza pole sana kwa mitihani ambayo imekupata,ndio binadamu tulivyo tukiwa na shida tunakuja mikono nyuma ila tukikidhi haja zetu huwa imeisha hiyoMkuu mimi nimelizwa pesa nyingi sana sana sana, kuna nyingine mpaka saizi nadhani mzee wangu bado hajamaliza kulipa deni maana nilipigwa pesa nyingi halafu zilikua za kampuni ( naogopa tu kumention maana kuna watu hua wananifatilia sana ).
Hizo senario za kukosea kutuma hela na zilikua zinahitajika kwenye issue serious ndio kabisa sijawahi kurudishiwa
Hivi hapa kuna watu wawili niliwakopesha mmoja laki7 mwingine laki8 toka mwaka jana mpaka leo hawana mpango wa kunilipa hadi nawaza sijui niwaroge,.
So mimi saizi kwenye masuala ya kuwa na ubinadam kwenye hela nimejipa tu likizo, wacha nijilipe hivihivi mdogomdogo
Yeah maisha yanafunza sanaMimi kama mimi kurudisha hela nimeokota siwezi,. Leo saa3 asubuhi kuna mtu kakosea kutuma Laki2 kwenye namba yangu ya Voda nimeihamishia Kwenye Halopesa nimetulia na mpango wa kuirudisha sina
Ubinadamu nilishafanyaga sana na haukunilipa wala kunifikisha popote. Wacha nijilipe tu maana nishalizwa sana
Uko sahihi sana mkuu, lakini nadhani huu ushauri kuna mtu atasoma na utamfaa ila mimi sio mlengwa hapa nimeshajikataa.Kwanza pole sana kwa mitihani ambayo imekupata,ndio binadamu tulivyo tukiwa na shida tunakuja mikono nyuma ila tukikidhi haja zetu huwa imeisha hiyo
Nikwambie kitu Leejay49, najua umeumizwa na sasa hivi moyo wako umeingia ganzi lakini usiwahuku wengine kwa makosa ya wengine
Usichoke kuomba walio kudhulumu warudishe haki yako,lkn liwe somo kwako uwe makini kuwakopesha watu ambao hawastahili
Sanaaa,,. Nilichogundua watu wema ndio ambao wanaishi na maumivuYeah maisha yanafunza sana
Sawa bwana mimi ni nani nipinge maamuzi yako😂😂Uko sahihi sana mkuu, lakini nadhani huu ushauri kuna mtu atasoma na utamfaa ila mimi sio mlengwa hapa nimeshajikataa.
Kwenye hili kama ni dhambi nimekubali kwenda kuitumikia huko akhera, nimelizwa mnooo wacha tu niendelee kuwa hivihivi nachoomba Mungu ni kwamba waendelee kukosea na wengine na wengine
hapa ndio tunaweza kuongea lugha moja sasa😂Sawa bwana mimi ni nani nipinge maamuzi yako😂😂