SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Hao waaminifu wa pesa huwa wanaitwa washamba, wavaa mashati na vitenge na suruali za vitambaa. Mademu wa 2004 hawawapendi kwa maana hawana swagger za mjini..Mm sio kumi hata mil moja mpk billion hyo sina shida nayo ukichukua shida utakayoipata never explained rudisha ela ya watu ukuwe kiimani lakini hii wanawezq wale tu waliolelewa na kufunzwa vyema sio kila mtu