SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Hao waaminifu wa pesa huwa wanaitwa washamba, wavaa mashati na vitenge na suruali za vitambaa. Mademu wa 2004 hawawapendi kwa maana hawana swagger za mjini..Mm sio kumi hata mil moja mpk billion hyo sina shida nayo ukichukua shida utakayoipata never explained rudisha ela ya watu ukuwe kiimani lakini hii wanawezq wale tu waliolelewa na kufunzwa vyema sio kila mtu
Acheni dhuluma nyie matajiri. Wengi wenu (98%) ni wadhulumati na wanyang'anyi..Mkuu endelea kubaki kuwa fukara hili ukutane na pepo
Mtembea bure ni mzurulaji na uzurulaji ni kosa kisheria..Yeah, Kuokota hale pia ni kupambana mkuu ndiyo maana kuna msemo usemao mgaa gaa na upwa hali wali mkavu au mtembea bure siyo sawa na mkaa bure.
Enzi za magufuli uzururaji ulikuwa kosa, Sasa hivi we tembea kadiri uwezavyo.Mtembea bure ni mzurulaji na uzurulaji ni kosa kisheria..
Nimekosoma mkuu endelea kufanya juhudi za kubaki kuwa fukara,ombea na kizazi chako chote wawe mafukara wa kutupwa na muwe watumwa wa matajiri.Acheni dhuluma nyie matajiri. Wengi wenu (98%) ni wadhulumati na wanyang'anyi..
Utajiri wa dhuluma na unyang'anyi siutaki mimi..Nimekosoma mkuu endelea kufanya juhudi za kubaki kuwa fukara,ombea na kizazi chako chote wawe mafukara wa kutupwa na muwe watumwa wa matajiri.
Inawezekana hiyo ndio njia Mungu kakupa ku solve matatizo yako halafu unaipeleka polisi?Hapo kwenye dhiki na mahitaji yako ndio inahitajika ustahamilivu wa kutosha kupinga tamaa yako binafsi au uwe mkubwa kushinda tamaa yako na kurudisha hela za watu
Wengi wetu hapa ndio kwenye mtihani boss