Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

Dawa ipi ya meno? As far as I know, dawa za meno kuna content zinatofautiana... we uliweka ipi? BY THE WAY, ULIAMBIWA UWEKE IPI?
 
Asali+ unga wa mdalasini+Unga wa tangawizi.



Pendelea kutafuna karanga....mara ingine parachichi, mara nyingine Mihogo
Ongeza hapo habat souda +vitunguu saumu.Tumia dozi asubuhi na jioni ndani ya siku 14,aisee utapona na utapiga shoo kali sana.
 
Mi nilipaka colgate bila kuchanganya na kitu aisee dushee liliuma balaa halafu likawa kama linasikia baridi kali sana kama vile limewekwa kwenye friji nahisi kwasababu ya ile mint. Nilijuta na sijawahi kujaribu tena ujinga.
 
Mi nikibooost confidence yangu...nikimvaa demu shoo sio ya nchi hii ....

Lazima aamke kesho viungo vinauma....goals kama zote.....kileleni afike mpaka achoke ashuke .
Mkuu wewe ndiye umemfanya binti mmoja juzi ametoka mbio na boxa ya kike mkononi akaiangusha pale Shungashunga baada ya kuzidiwa room?
 
Navyofahamu mimi dawa ya mswaki ikipakwa husababisha kichwa kufa ganzi
kitu ambacho hupunguza msukumo wa hisia wakati wa tendo ambapo ndiyo sababu ya kukimbia mda mrefu bila kufika kileleni

Huwa wanashauri upake kwa mda fulani na uifute kwa maji safi kabla ya kumwingilia mama chanja
 
Mkuu kama hautojali tupe siri y kupona kwako hiii itasaidia kwa wengine pia maana umetuambia umejitibu na umepona sasa 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…