Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
 
Kama line yako ukusajiri kwa NIDA labda. Ila udakwa ni wizi kama wizi mwingine tu! Pole
 
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Tumerudisha kiroho safi zaidi ya hiyo. Ukiona vipi unamrudishia hata 50,000 halafu 20,000 unaweza mwambia songesha au nivushe wamevuta mpunga wao. Atakushukuru
 
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Efu 70 tu ndo inakutoa roho ivi😀irudishe kwa mwenyewe
 
Back
Top Bottom