Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Elfu 70 tu? Hata kama nina njaa kiasi gani narudisha. Kwanza kiutaratibu yeye ndo anapaswa kureverse muamala.
 
Kama huna nia ya kurudisha sikushauri upokee simu yoyote wala kupokea malalamiko ya hela kama hizo..

Hizo Hela zitakuua...

wasukuma wanajua hio michezo

utasikia Doho shida gete... kumbe anawahi kukumaliza!

Usipokee simu, toa simcard au block all incoming calls for the time being
 
Watanzania tujifunze uaminifu

Haya matendo yakiendelea kuonekana ni ya kawaida, inafikia wakati hata muhusika akifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, ama Waziri ama Gavana wa Benki Kuu, ama Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Dodoma basi suala la wizi na ubadhirifu linakuwa ni sehemu ya Uongozi wake.

Nakumbuka Mwaka 2009 wakati ndiyo MPesa imeanza kuchangamka, Kuna mtu alinitumia kimamkosa shilingi 285,000 Kwa mujibu wa maelezo yake alikuwa akimtumia Kijana wake ambaye alikuwa ni Mwanafunzi.

Kwa uaminifu wangu, nikamrudishia hela yake, japo ilipungua kama shilingi 3000 ikiwa ni gharama za kutuma.

Haya mambo ya kutokuwa waaminifu, yanafanya Wazee tukifa tuache tego Kwa Bibi zenu kwamba yeyote atayeenda kumuonja basi naye afe 😜
 
Kama huna nia ya kurudisha sikushauri upokee simu yoyote wala kupokea malalamiko ya hela kama hizo..

Hizo Hela zitakuua...

wasukuma wanajua hio michezo

utasikia Doho shida gete... kumbe anawahi kukumaliza!

Usipokee simu, toa simcard au block all incoming calls for the time being
Kazi bure akiiripoti kwenye kampuni za simu watakata hela yake siku isiyo na jina tena akiwa na shida labda asitumie simu maisha yke yote
 
Back
Top Bottom