Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

Kama pesa sio yako iache kwenye account /wallet ili watu wa mitandao wareverse na kumrudishia mwenyewe...ukiitoa ni kama wizi mwingine wowote tu ni vile hujakamawatwa na mamlaka au wananchi wenye hasira kali
 
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
elf 70 mkuu inakuondolea utu namna hiyo, haya tufanye umeichukua umefanyia nini cha maana? usikute kuna mgonjwa alikuwa anatakiwa apone kwa ajili ya hiyo hela, kuna mwanafunzi alitakiwa afanye mtihani wa chuo maana hiyo ndio ada ya kujazia
 
Utakuja kuozea jela. Kesi yake ni wakala au mfanyakazi kufungua kesi polisi kuwa ulimpigia simu ukamumanipulate mpaka akakutumia hela, kwa maana kuwa wewe ni mwizi au tapeli. Utapata kesi hutaamini.
 
Usisikize motivation za kijinga anglia kwanza unahari gani ya kiuchumi .hiyo nayo niriziki. Hakuna dhuluma hapo wengi wao wamedhulumu sana tu mkuu we tumia.
😂 kuna vichwa
 
Mwambie ali verse mwenyewe,wewe usitume au awasiliane na mtandao husika wafanye hio process.

Ila wengi humu wanasema rudisha,siwaamini sana kama wao wangefanya hivo.
Sure
 
Back
Top Bottom