Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Wewe huoni shida yoyote hapo?Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Kama line yako ukusajiri kwa NIDA labda. Ila udakwa ni wizi kama wizi mwingine tu! PoleMfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Tumerudisha kiroho safi zaidi ya hiyo. Ukiona vipi unamrudishia hata 50,000 halafu 20,000 unaweza mwambia songesha au nivushe wamevuta mpunga wao. AtakushukuruMfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Hii nimeisikia, huwa wanapiga vipi?Shida ni kwamba kuna wengine wanasema ukiirudisha unaweza ukapoteza pesa zako zote
Huo ni wizi mkuu.SASA MBONA KAMA MNANIZOMEA
Rudisha afu muombe elfu kumiSASA MBONA KAMA MNANIZOMEA
RUDISHA HELA YA WATUSASA MBONA KAMA MNANIZOMEA
Efu 70 tu ndo inakutoa roho ivi😀irudishe kwa mwenyeweMfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?