Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #61
Nimeirudisha mkuu mda san nikuwa nawachora tuelf 70 mkuu inakuondolea utu namna hiyo, haya tufanye umeichukua umefanyia nini cha maana? usikute kuna mgonjwa alikuwa anatakiwa apone kwa ajili ya hiyo hela, kuna mwanafunzi alitakiwa afanye mtihani wa chuo maana hiyo ndio ada ya kujazia
Au siounajua mwanaume ukijijengea desturi ya kupenda vitu vya bure, kuna namna flani akili yako inakuwa mbovu na utashangaa mtiririko wa maamuzi mabaya unaibuka kwenye maisha yako.
yangu ni hayo tu.
inategemeana na namna muhusika atakavyo nijia. kama kaja kwa ukali sirudishi vinginevy sawMfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Mimi nimerudisha kabla sijaleta uzi hapa ila nilitaka kuona gubu la waja wa jf na nimeliona kuna wengine wananipa laana ila wangekuwa wao wasingerudisga na wangezima simuKuna mmoja alikosea 210000, kuna mwenzangu nikamuonyesha akasema tukatoe nikakataa, nikamsubiria apige maana alitumia kwa NMB, kapiga kesho yake..nikaanza kucheka ikabidi naye acheke alinambia " bro utaweza nirudishia kweli 😂" nikamjibu ndio, aliniambia toa 30000 chukua, mpaka leo marafiki 🤣🤣
Ndo inavyokuwa mara zote...jamaa yangu alilaumu sanaa.Mimi nimerudisha kabla sijaleta uzi hapa ila nilitaka kuona gubu la waja wa jf na nimeliona kuna wengine wananipa laana ila wangekuwa wao wasingerudisga na wangezima simu
Wejama katiliKuna mwaka maisha yalinipiga mno aisee chanzo nilinunua mbaazi kwa shiling 1200 kwa kilo halafu wanunuzi ambao ni wahindi wakasigana na serikali kwahiyo hawakununua na ukizingatia nilinunua mzigo kwa pesa yangu yote...hapo ndipo maisha yakaànza kuwa magumu sana ....kuna siku nilikuwa kijiji fulani ghafla ikaingia pesa laki 7 kwenye airtelmoney kabla sijawaza vizuri nani katuma nikapigiwa Simu na mama mmoja kuwa amekosea ,,nikamwambia mama subiri nakurudishia nikakodi bodaboda mpaka kijiji cha jirani kuliko na wakala nikainyofoa ile pesa
Me nishawai pata 500k dakika1 nikachoa 200k kwa wakala chap, hapo ndo nikanza tafakari hii amount imetoka wapi?? Dakika ya tatu nikaona acc yangu tigopesa imefungiwa, nikajua kishaumana huko.Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Kuna jamaa juzi alikuwa anatuhafithia et alipokea milioni moja mara simu ikaita kapigiwa na aliekosea anadai hiyo hela ili kuwa inatumwa kwa ajili ya matibabu jamaa moyo ukalainika akairudisha walivyoipata wakampoza laki tat, ila nahisi niliongo ilikuwa ni chai maana jamaa anasifa ya uongoMfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Ikiwa inakufikisha popote utaichukua?Elfu 70 ya dhulma haitokufikisha popote.
Mimi nitarudisha.
Inaweza kunifikisha wapiIkiwa inakufikisha popote utaichukua?
DuuuhMimi nilituma laki saba na hamsini juzi kupitia Airtel money. Wakala akakosea namba zikaenda kwa mwenyekiti wa mtaa wa CCM huko Tabora. Ilikuwa saa sita na nusu. Saa kumi nampigia niliyemtumia pesa anasema hajaipata! Kwenda kwa wakala akacheki na mtu wa Tabora akakuta ameshaitoa hela yote. Na baada ya hapo akablock simu!!!
Mimi hapa niko njia panda sijui Airtel watanisaidiaje!
Hiyo hela ndogo rudisha, kwanza mimi hata sitashughulika nayo nitasubiri mwenyewe apige.Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
Kubwa isirudishwe?Hiyo hela ndogo rudisha, kwanza mimi hata sitashughulika nayo nitasubiri mwenyewe apige.
Kuna mzee aliwahi kunirudishia,. Baadae nilimsaidia sana kwa muda mrefu maana nilimfanya kama baba yangu.
Shida laini haitakua na amani hata vocha utashindwa kuwekaMwambie ali verse mwenyewe,wewe usitume au awasiliane na mtandao husika wafanye hio process.
Ila wengi humu wanasema rudisha,siwaamini sana kama wao wangefanya hivo.
Kwa mtu mwenye mtaji wa elfu tano anatembeza mboga mboga hiyo ni hela kubwa, ila kwa zuchu ni ndogo.Kubwa isirudishwe?
Kubwa zaidi ya elfu 70? Kama mada inavyosema na wewe ulivyojibu.Kwa mtu mwenye mtaji wa elfu tano anatembeza mboga mboga hiyo ni hela kubwa, ila kwa zuchu ni ndogo.
Sasa hela kubwa ipi sijui.