Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

 
Siku zote wajinga ndiyo waliwao.
 
Naonaa manabii wa uongo mnazidi kushika Kasi.
 
Aiseee. Watanzania msipowekeza kufanya kazi kwa kujituma basi mtatumwa na Hawa mabulldozer.
 
Uzuri wa mwamposa hajawahi kuwaita watu wakaombe kumjua mungu na kuondoa matendo ya dhambi. Yeye anawaita wenye shida mbalimbali.

Matangazo ya mwamposa hayana tofauti na waganga wa kienyeji. Hivyo ni mganga kama waganga wengine.tofauti yake yeye anatembea na bibilia na kumtaja yesu kwa mbaali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…