Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Nchi hii mtaji wa majizi na mafisadi kama Mwamposa ni;

Wanawake,

Wajinga na

Wapumbavu.

Fanyeni kazi acheni uzezeta.
 
TWENDEZETU KAWE
 
Kanisa halina hata katiba
 
1 Waraka wa yohana 4:1

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

1 Yohana 4:1
 
Mathayo 24:24

Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule
 
Kwa jina la Yesu nitakuwa kwenye TV LIVE nikisali na kuomba juu ya mwanangu anayekuwa na michezo mingi kuliko masomo Yesu amkumbatie Amen!!
 
Kwa jina la Yesu nitakuwa kwenye TV LIVE nikisali na kuomba juu ya mwanangu anayekuwa na michezo mingi kuliko masomo Yesu amkumbatie Amen!!
Atapokea wewe andaa tu keki yako umpatie hapo hapo nyumbani kwa kujiungamanisha
 
Namkubali sana huyu mtu Mungu ampe maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…