Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Haya ni mawazo yako wewe mzinzi, ukiwaza ngono utafuata ngono, ukiwaza mafundisho ya neno la Mungu utafuata neno.
 
KUMEKUCHA KUMEKUCHA,MWENDO WA KUUZIWA MCHANGA KISHA YEYE AKAJENGE HOTELS MWANJELWA,AKILI TU BABUU,AKILIII...PIGA SPANA MWAMPOSA..!!
Usiwe mvivu wa kufatilia habari, wapi ulisikia Mwamposa kauza mchanga? Tv, redio ??? Au unakaa vijiwe vya bangi halafu unaleta habari hapa?
 
Sawa
Number Ya M~Pesa/Tigo,HaloPesa, Airtel Money
nimewiwa Kumtolea Mungu Kupitia Mtumishi
 
Wanasoma Kwa bidii na kufuatilia Kwa karibu Kila topic ya somo,siyo kwamba maombi ya kawe ndio yamewabadilisha.
Hayaa mabadiliko chanya ndo yanatakiwa, kabla ya upako walikuwa hawana bidii sasa wana bidii.
 
Kawe kumenoga sana , twende zetu KAWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…