Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu.

Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.

C9661FDB-9F6C-4766-A9C8-65F563B40C07.jpeg


FD04190D-D4EF-43ED-9378-E74AB6FF600C.jpeg
 
Hao waliokuja kukusaidia kutizama hizo tuzo umeishawaona? Kaliba zao zipoje? Wawe watuhumiwa wa kwanza
 
Duh pole hii niliiona na kule Twita kuna jamaa kaibiwa kwa style kama yako au ni wewe ?
 
Back
Top Bottom