Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Mkuu utakuwa unalala kama pono au labda wapulize dawa, sababu kwa kishindo cha kuvunja mlango lazima ungekurupuka.
Alafu mlango hautakiwi kuwa na kakitasa kamoja tu bali funga na makomeo mazito sio chini ya matano unless unaishi masaki na sio uswahilini
Komeo la chini, komeo la juu, komeo la kati, kitasa, komeo la kati kutoka chini, hapo mwizi atasanda tu.