mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Una bahati hawajakubaka.Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu.
Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.
View attachment 2174025
View attachment 2174026