Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
hawajakubaka kweli maana kama had wamebomoa mlango ,wamefungua tv hujashtuka ebu jichukuze wasije wakawa wamekufanya jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IMEANDIKWA HAPO 70000inauzwa sh ngap
Hapana hata kwangu asije hatasaidikaAje kwako. Huduma ya uhakika bro! Hahahaha.
Picha tafadhali, na zinauzwa wapi?ukinunua nyingine funga tracking system kabisa
Police nao kama waganga wa kienyeji tuu, watataka hela ili wakaikomboe TV yako.Pole sana, angalia kwanza polisi kama wanaweza kukusaidia ila kama hawawezi, nenda ndugu yangu.. sio muda wa kucheka na nyani
70000Picha tafadhali, na zinauzwa wapi?
Kwa. Kutumia. Forescing. Crime analysis walipuliza sawa ya kukusababisha wewe. Ulale , mzee maana sign Ya kubomolewa mlango inasema tu ,Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu.
Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.
View attachment 2174025
View attachment 2174026
Wezi wa siku hizi si wajinga lazima waangalie, pikipiki zenyewe lazima ziangaliweukinunua nyingine funga tracking system kabisa
Roho mbaya hiyoflat screen la milion kasoro alaf mlango wa chumba wa singbodi hivi kweli?
[emoji1][emoji1][emoji1]natamani wangekuselfie unavokoroma kbsa
Hiyo ni siri yakehawajakubaka kweli maana kama had wamebomoa mlango ,wamefungua tv hujashtuka ebu jichukuze wasije wakawa wamekufanya jambo
haina noma unamiliki pajero unaishi kwa mpalange