Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

Nina mashaka wezi wako wa TV wako humu humu wanakupa na moyo kabisa

Wengine hawajaridhika na hasara waliyokupatia, wanakushauri uwende kwa sangoma ili ukapoteze zaidi
 
Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu.

Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.

View attachment 2174025

View attachment 2174026
Pole sana, angalia kwanza polisi kama wanaweza kukusaidia ila kama hawawezi, nenda ndugu yangu.. sio muda wa kucheka na nyani
 
kuna kitu wanenda kuangalia kisha watarudisha hiyo tv yako kuwa mvumilivu tu
 
Pole sana kaka, jipange upya tu usisahau kuweka na Grill hapo Mlangoni
 
Hawatoki mbali hao, ni wakali wa hapohapo kitaa unakuta hata ni masela wako....Na ukienda kwa mganga usimwambie mtu hata msela wako wa karibu, hawachelewi kujiwekea gadi...

Hadi sio poa..
Hakuna kibaka mwizi jambazi asiye roga, ushirikina ni supu kwao
 
Ipoje hii mkuu
MINI TRACKER.jpg
 
siku 1 kabla ya mwezi mtukufu very trick idea...
 
Back
Top Bottom