Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu.

Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.



 
Hao waliokuja kukusaidia kutizama hizo tuzo umeishawaona? Kaliba zao zipoje? Wawe watuhumiwa wa kwanza
 
Hao walikupulizia dawa ya usingizi nini?! Maana huo mlango mbona kama ulipigwa kwa kishindo kikubwa sana kushindwa kuusikia?!
 
Duh pole hii niliiona na kule Twita kuna jamaa kaibiwa kwa style kama yako au ni wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…