mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Apr 4, 2022 #81 Teko Modise said: Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu. Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma. View attachment 2174025 View attachment 2174026 Click to expand... Una bahati hawajakubaka.
Teko Modise said: Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu. Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma. View attachment 2174025 View attachment 2174026 Click to expand... Una bahati hawajakubaka.
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Apr 4, 2022 #82 Sipendagi kuangala mavituvitu usku ukilala unalala kama boga.
haruna yassini Member Joined May 12, 2021 Posts 39 Reaction score 29 Aug 27, 2022 #83 Equation x said: Kama wamekuachia roho, haina shida Click to expand... nakazia Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Equation x said: Kama wamekuachia roho, haina shida Click to expand... nakazia Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app